banner68
banner58

Kikosi cha Taifa Stars kitakachocheza na Cape Verde hiki hapa

Simba, Yanga zachangia wachezaji wachache

Kikosi cha Taifa Stars kitakachocheza na Cape Verde hiki hapa

Simba, Yanga zachangia wachezaji wachache

27 September 2018 Thursday 13:13
Kikosi cha Taifa Stars kitakachocheza na Cape Verde hiki hapa

Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa StarsEmmanuel Amunike, ametangaza kikosi cha wachezaji 30, watakaoingia kambini mwezi ujao, kwa ajili ya kujiandaa na mchezo wa kuwania kufuzu fainali za Afrika (AFCON 2019) dhidi ya Cape Verde.

Mchezo huo wa mzunguuko wa tatu wa kundi L, umepangwa kuchezwa mjini Praia, kwenye uwanja wa taifa wa Cape Verde Oktoba 12-2018.

Kocha Amunike ametangaza kikosi hicho cha wachezaji 30, katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika leo jijini Dar es salaam.

Walioitwa kuunda kikosi hicho upande wa Makipa yupo, Aishi Manula (Simba), Mohamed Abdulrahman (JKT) na Benno Kakolanya (Young Africans).

Mabeki: Shomary Kapombe (Simba)Hassan Kessy (Nkana, Zambia), Salum Kimenya (Tz Prisons), Paulo Ngalema, Ally Sonso (Lipuli) Abdi Banda (Baroka, Afrika Kusini), Gadiel Michael, Kelvin Yondani , Andrew Vincent Dante (Young Africans) Abdallah Kheri, Agrey Morris na David Mwantika (Azam).

Viungo: Himid Mao (Pertojet, Misri)Jonas Mkude (Simba), Frank Domayo, Mudathir Yahya (Azam), Feisal Salum (Young Aficans), Saimon Msuva (El Jadidi, Morocco), Farid Mussa (CD Tenerife, Hispania), Salum Kihimbwa (Mtibwa).

Washambuliaji: Mbwana Samata (Genk, Ubelgiji), John Bocco (Simba), Thomas Ulimwengu (A Hilal, Sudani), Rashid Mandawa (BDF XI, Botswana), Yahya Zayd (Azam), Shaban Chilunda (CD Tenerife, Hispania) na Kelvin Sabato (Mtibwa Sugar)

Comments
Avatar
Your Name
Post a Comment
Characters Left:
Your comment has been forwarded to the administrator for approval.×
<strong>Warning!</strong> Will constitute a criminal offense, illegal, threatening, offensive, insulting and swearing, derogatory, defamatory, vulgar, pornographic, indecent, personality rights, damaging or similar nature in the nature of all kinds of financial content, legal, criminal and administrative responsibility for the content of the sender member / members are belong.
Avatar
savio 2018-09-28 20:17:48

Huyo kocha kuwaacha elasto nyon na kichuya timu ikifungwa mshahala ajilpe mwenyewe.

Avatar
SAMOTO 2018-10-06 06:39:36

Hongera sana amunike sasa twakuamini

Avatar
Jonas charls bassu 2018-10-08 21:31:50

Kocha kikosi hicho nimekipenda isipokuwa tatizo lipo kwa kumwacha erasto nyoni mchezaji mzoefu sana hata siku ya Uganda kukosekana kwake kulionekana mapungufu sana

Avatar
Jonas charls bassu 2018-10-08 21:34:12

Kocha kikosi hicho nimekipenda isipokuwa tatizo lipo kwa kumwacha erasto nyoni mchezaji mzoefu sana hata siku ya Uganda kukosekana kwake kulionekana mapungufu sana

Avatar
Manyanda 2018-10-11 23:24:42

kikosi kizr na erasto na kichuya viwango vimeshuka

Avatar
MEDIUM MASHINE BUGALAMA NKO GEITA 2018-10-12 02:05:30

NAITAKIA TAIFA STAA USHINDI WA BAO 2 KWA BILA

Avatar
Emmanuel lucas nzuna 2018-10-12 07:29:26

kocha amunike uko vizuri, na kikosi kipo vizuri pia tunategemea ushindi dhidi ya cape verde, nawatakia kazi njema viongozi na wachezaji wote wa timu kwa ujumla.

Avatar
kulwa masanja 2018-10-12 07:59:22

nawatakia mchozo mwema timu ya taifa star tupeni fulaha watanzania wafungeni 2-0