Lionel Messi anyakua tuzo

Lionel Messi anyakua tuzo

10 September 2019 Tuesday 13:34
Lionel Messi anyakua tuzo

MSHAMBULIAJI wa Barcelona, Muargentina Lionel Messi amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa kimataifa kwa mwaka 2019, kwenye tuzo za ESPY.

Tuzo za ESPY (Excellence in Sports Performance Yearly Award) zinazolenga kutambua utendaji bora wa wanamichezo kwa kila mwaka.

Ni tuzo zinatolewa kwa sasa na kituo cha matangazo ya runinga Amerika (ABC) na hapo awali ilikuwa ni ESPN.

Msimu wa mwaka 2018/2019 Messi alikuwa mfungaji Bora: Laliga (Mabao 36), Uefa Champions League (Mabao 10) na mfungaji bora Ulaya (mabao 51)

Comments
Avatar
Your Name
Post a Comment
Characters Left:
Your comment has been forwarded to the administrator for approval.×
<strong>Warning!</strong> Will constitute a criminal offense, illegal, threatening, offensive, insulting and swearing, derogatory, defamatory, vulgar, pornographic, indecent, personality rights, damaging or similar nature in the nature of all kinds of financial content, legal, criminal and administrative responsibility for the content of the sender member / members are belong.