Marekani bingwa mpya kombe la dunia wanawake

Marekani bingwa mpya kombe la dunia wanawake

08 July 2019 Monday 09:33
Marekani bingwa mpya kombe la dunia wanawake

Lyon, Ufaransa
TIMU ya soka ya Marekani Wanawake  imefanikiwa kutwa ubingwa wa kombe la Dunia 2019 kwa wanawake baada ya kuwafunga wenzao wa Uholanzi kwa goli 2-0.

Fainali hiyo iliyochezwa katika uwanja wa Lyon nchini Ufaransa, ilishuhudia Marekani ikipata magoli hayo kipindi cha pili.

Magoli hayo yalitumbikizwa kimiani na winga machachari Megan  Rapinoe dakika 61 kwa njia ya mkwaju wa penati  na kunako dakika ya 69  mchezaji Rose Lavelle alihitisha kalamu hiyo ya magoli na kupeleka zimanzi kwa mashabiki na wapenzi wa Uholanzi.

Ubingwa huo ni wa nne kwa Marekani

Comments
Avatar
Your Name
Post a Comment
Characters Left:
Your comment has been forwarded to the administrator for approval.×
<strong>Warning!</strong> Will constitute a criminal offense, illegal, threatening, offensive, insulting and swearing, derogatory, defamatory, vulgar, pornographic, indecent, personality rights, damaging or similar nature in the nature of all kinds of financial content, legal, criminal and administrative responsibility for the content of the sender member / members are belong.