Mbrazil asaini Simba

Mbrazil asaini Simba

21 June 2019 Friday 13:47
Mbrazil asaini Simba

Na mwandishi wetu, Dar es Salaam
KLABU ya Simba imemsajili mshambuliaji Mbrazil, Wilker Henrigue.

Mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 23 kutoka klabu ya Bragantino  hii leo Juni 21, 2019 amesaini mkataba wa miaka miwili.

Taarifa ya klabu ya Simba inaeleza: "Mshambuliaji raia wa Brazil, Wilker Henrique da Silva akisaini mkataba wa miaka miwili kuchezea kikosi cha Mabingwa wa nchi. Wilker mwenye umri wa miaka 23 amejiunga na timu yetu akitokea klabu ya Bragantino ya nchini kwao Brazil. Wilker karibu sana. Yajayo yatafurahisha zaidi." 

Updated: 25.06.2019 14:44
Comments
Avatar
Your Name
Post a Comment
Characters Left:
Your comment has been forwarded to the administrator for approval.×
<strong>Warning!</strong> Will constitute a criminal offense, illegal, threatening, offensive, insulting and swearing, derogatory, defamatory, vulgar, pornographic, indecent, personality rights, damaging or similar nature in the nature of all kinds of financial content, legal, criminal and administrative responsibility for the content of the sender member / members are belong.
Avatar
Costantino kimbe 2019-06-26 09:33:54

daaaaaaah acje kuw Kam akin Jaja wa yangaa jamn!!!!

Avatar
Baraka 2019-07-01 20:59:45

big up

Avatar
joel boy 2019-07-03 20:54:54

Dah simba wana mkwara

Avatar
ENICK ABELY. 2019-07-03 21:05:01

Mwendo Wa Shangwe Tupu Ndan Ya Msimbaz

Avatar
ndikumana 2019-07-06 10:15:58

kalibu sana kijana msimbazi

Avatar
Majira 2019-07-06 17:53:00

Sis sio wava yeboyebo mla

Avatar
the prince 2019-07-07 22:22:03

ni sifa ya pekee xana kwa simba kummilik mbrazil 2namkarbisha xana ila asiwe kama makambo

Avatar
Jackson 2019-07-08 20:28:06

Angaliz usije ukaw kam akina jaja