Mchezaji mstaafu Man United, Real Madrid atua nchini

Mchezaji mstaafu Man United, Real Madrid atua nchini

22 July 2019 Monday 14:26
Mchezaji mstaafu Man United, Real Madrid atua nchini

Na mwandishi wetu, Dar es Salaam
ALIYEWAHI kuwa mchezaji wa Man United na Real Madrid yupo nchini kwa ajili ya ziara  ya utalii.

Kwenye ukurasa wake wa Twitta mshambuliaji  huyo nguli ameweka picha za wanyama mbalimbali ikiwemo Simba, Tembo na Chui

Van Nistelrooy ambaye kwa sasa ni kocha wa timu ya chini ya miaka 19 ya PSV Eindhoven ameonesha kushangazwa na uzuri wa Wanyama hao, amewakaribisha watu Tanzania

Kabla ya kutundika daluga alizichezea timu za Den Bosch, Heerenveen, PSV Eindhoven, Manchester United, Real Madrid, Hamburger SV na Málaga.

PICHA CHINI; Van Nistelrooy akifanya utalii wa ndani huku akipiga picha mbalimbali

Updated: 22.07.2019 14:40
Comments
Avatar
Your Name
Post a Comment
Characters Left:
Your comment has been forwarded to the administrator for approval.×
<strong>Warning!</strong> Will constitute a criminal offense, illegal, threatening, offensive, insulting and swearing, derogatory, defamatory, vulgar, pornographic, indecent, personality rights, damaging or similar nature in the nature of all kinds of financial content, legal, criminal and administrative responsibility for the content of the sender member / members are belong.