banner68

Meddie Kagere na Serge Wawa leo kukichafua Taifa Kombe la Kagame

Meddie Kagere na Serge Wawa leo kukichafua Taifa Kombe la Kagame

30 June 2018 Saturday 11:49
Meddie Kagere na Serge Wawa leo kukichafua Taifa Kombe la Kagame

Wakati michuano ya Kagame ikianza jana jijini Dar es Salaam kwa mechi tatu kupigwa, hii hapa ni ratiba ya mechi za Simba katika mashindano hayo ambapo inaanza kibarua chake leo.

Simba SC vs Dakadaha ya Somalia (Jumamosi - Uwanja wa Taifa, Saa 8 mchana)

Simba vs APR ya Rwanda (Jumatatu - Uwanja wa Taifa, Saa 8 mchana)

Simba vs Singida United (Jumatano - Uwanja wa Taifa, Saa 10 jioni).

Ikumbukwe mechi zote hizi zitakuwa mubashara kupitia kituo cha Azam TV kupitia chaneli yake ya Azam Sports II.

Matokeo ya jana haya hapa

Klabu ya Singida United imeanza vizuri mashindano ya KAGAME baada ya kuitwanga APR kutoka Rwanda mabao 2-1 katika mchezo uliopigwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

Ushindi huo umeleta matumaini kwa timu za Tanzania kuanza vema baada ya Azam nayo kuweza kupata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Kator FC kutoka Sudan Kusini.

Katika mechi za ufunguzi leo, JKU ya Zanzibar ndiyo timu pekee kutoka Tanzania iliyoshindwa kung'ara kwa kulazimishwa sare ya 1-1 na Vipers SC ya Uganda.

Azania Post

Comments
Avatar
Your Name
Post a Comment
Characters Left:
Your comment has been forwarded to the administrator for approval.×
<strong>Warning!</strong> Will constitute a criminal offense, illegal, threatening, offensive, insulting and swearing, derogatory, defamatory, vulgar, pornographic, indecent, personality rights, damaging or similar nature in the nature of all kinds of financial content, legal, criminal and administrative responsibility for the content of the sender member / members are belong.
Avatar
Masunga 2018-07-02 15:14:03

Hongela Kwa Tim Za Tanzania

Avatar
Doto Amani 2018-07-02 17:27:02

Naitakia Ushindi Simba Sc

Avatar
Abdallah kabiliga 2018-07-04 12:13:32

Naitakia simba ushindi ili izidi kusonga mbele zaid

Avatar
Ridhiwan 2018-07-07 13:31:17

naitakia simba ushindi mwema

Avatar
Amos 2018-07-13 05:51:57

Naitakia Simba ushindi mkubwa

Avatar
fredy thobiasi 2018-07-25 20:56:20

yanga wajitaidi kwan pole pole ndy mwendo mdundo'