banner68
banner58

Mwinyi Zahera atuma ujumbe kwa TFF

Mwinyi Zahera atuma ujumbe kwa TFF

06 October 2018 Saturday 15:31
Mwinyi Zahera atuma ujumbe kwa TFF

Kocha Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera amelishukuru Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kufuatia kumpatia tuzo ya kocha bora wa mwezi na kuahidi kupambana zaidi.

Zahera amepatiwa tuzo ya kocha bora wa mwezi Septemba baada ya kufanikiwa kuingoza timu yake ya Yanga kushinda michezo mi­wili na sare mmoja.

Kocha huyo mzaliwa wa DR Congo mwenye uraia pia wa Ufaransa makocha Zubery Katwila wa Mtibwa Sugar na Bakari Shime wa JKT Tanzania.

Zahera amezungumza na Championi Jumamosi na kusema: “Ni vizuri kupata tuzo hii, nitawapi­gia simu wakubwa wa TFF kuwaambia asante kwa jinsi walivyonichagua ko­cha bora mwezi huu.

“Waen­delee ku­fanya kazi nzuri kwa roho safi kwa nguvu zote kwa kuwa kitu wa­nachokifanya ni kikubwa.”

Updated: 06.10.2018 15:50
Comments
Avatar
Your Name
Post a Comment
Characters Left:
Your comment has been forwarded to the administrator for approval.×
<strong>Warning!</strong> Will constitute a criminal offense, illegal, threatening, offensive, insulting and swearing, derogatory, defamatory, vulgar, pornographic, indecent, personality rights, damaging or similar nature in the nature of all kinds of financial content, legal, criminal and administrative responsibility for the content of the sender member / members are belong.
Avatar
Hassan Tambali 2018-10-07 08:38:58

Inapendeza sana zahera kwa kutowa shukran