Ni Van Dijk, Messi au Ronaldo kuchukua uchezaji bora UEFA?

Ni Van Dijk, Messi au Ronaldo kuchukua uchezaji bora UEFA?

16 August 2019 Friday 05:12
Ni Van Dijk, Messi au Ronaldo kuchukua uchezaji bora UEFA?

AGOSTI 29, 2019 ambayo itakuwa ni siku ya upangaji wa makundi ya UEFA Champions League pia atatangazwa rasmi mchezaji bora wa Ulaya(UEFA) msimu wa 2018/29.

Baada ya kuwa na msimu mzuri akiwa na Liverpool beki Virgil van Dijk  ametangazwa kuwa sehemu ya wachezaji wa tatu watakaowania tuzo hiyo

UEFA imetangaza majina matatu ya wachezaji wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa kiume wa Ulaya, Cristiano Ronaldo wa Juventus na Lionel Messi wa FC Barcelona wakiwa katika orodha hiyo hiyo.

Van Dijk anaungana Messi na Ronaldo baada ya kuwa na msimu mzuri akiwa na Liverpool ikiwemo kutwaa taji la UEFA Champions League kwa kuifunga Tottenham 2-0 katika jiji la Madrid.

Comments
Avatar
Your Name
Post a Comment
Characters Left:
Your comment has been forwarded to the administrator for approval.×
<strong>Warning!</strong> Will constitute a criminal offense, illegal, threatening, offensive, insulting and swearing, derogatory, defamatory, vulgar, pornographic, indecent, personality rights, damaging or similar nature in the nature of all kinds of financial content, legal, criminal and administrative responsibility for the content of the sender member / members are belong.