banner68
banner58

Niyonzima kukatwa Simba

Habari za uhakika kutoka katika klabu hiyo zinasema mchezaji huyo ni miongoni mwa nyota watakaopewa mkono wa kwaheri mara tu ligi itakapoisha Jumatatu wiki...

Niyonzima kukatwa Simba

Habari za uhakika kutoka katika klabu hiyo zinasema mchezaji huyo ni miongoni mwa nyota watakaopewa mkono wa kwaheri mara tu ligi itakapoisha Jumatatu wiki...

23 May 2018 Wednesday 11:19
Niyonzima kukatwa Simba

Na Amini Nyaungo

KIUNGO mahiri wa Simba Haruna Niyonzima ni miongoni mwa wachezaji wanaotarajiwa kukatwa kakita kikosu cha mabingwa wapya wa ligi kuu Tanzania bara Simba.

Habari za uhakika kutoka katika klabu hiyo zinasema mchezaji huyo ni miongoni mwa nyota watakaopewa mkono wa kwaheri mara tu ligi itakapoisha Jumatatu wiki ijayo.

Mnyarwanda huyo ametokea Yanga msimu uliopita, amepata mataji 3 Yanga huku ameshinda taji moja la ligi hiyo akiwa Simba, hivyo moja ya wachezaji wa kigeni walioshinda mataji mengi ya ligi kuu Tanzania Bara.

Niyonzima hakuweza kufanya vizuri tangu ajiunge na Simba kutokana na majeraha ya mara kwa mara ya goti huku muda mwingi akiutumikia nje ya dimba ili kuuguza majeraha yake.

Moja ya wachezaji wengine watakao chinjwa klabuni hapo ni pamoja na Laudit Mavugo, Juma Luizio na Salim Mbonde pamoja na wengine watano.

Azania Post

Comments
Avatar
Your Name
Post a Comment
Characters Left:
Your comment has been forwarded to the administrator for approval.×
<strong>Warning!</strong> Will constitute a criminal offense, illegal, threatening, offensive, insulting and swearing, derogatory, defamatory, vulgar, pornographic, indecent, personality rights, damaging or similar nature in the nature of all kinds of financial content, legal, criminal and administrative responsibility for the content of the sender member / members are belong.
Avatar
lugano 2018-07-22 21:59:27

ameenda uturuki