Pierre Lechantre ndio kama mlivyosikia ndoa yake na Simba yatibuka

Pierre Lechantre ndio kama mlivyosikia ndoa yake na Simba yatibuka

08 June 2018 Friday 11:34
Pierre Lechantre ndio kama mlivyosikia ndoa yake na Simba yatibuka

Na Amini Nyaungo

Kocha wa Simba Pierre Lechantre aligoma kukaa katika benchi la ufundi wakati wa pambano baina ya timu yake ya Simba dhidi ya Kakamega Homeboys ya Kenya, baada ya kile kinachodaiwa kuwa anahitaji mkataba mpya baada ya huu kukaribia kuisha.

Hatua hii inatoa ishara kwamba Simba wanajiandaa kuachana na kocha huyo wa Kifaransa.

Simba walikuwa na mpango wa kumuondoa na hawakuwa na haja ya kumuongezea mkataba mpya kocha huyo ambaye kwa maoni ya baadhi ya wachambuzi wa soka ni kwamba, hawaoni kama amefanikiwa kuipeleka klabu hiyo pale wanapopataka.

Kama tulivyoeleza hapo awali katika Makala zetu, kocha msaidizi Masudi Djuma atatangazwa kuwa kocha mkuu huku akipendwa na karibuni na mashabiki wote wa Simba.

Azania Post

Comments
Avatar
Your Name
Post a Comment
Characters Left:
Your comment has been forwarded to the administrator for approval.×
<strong>Warning!</strong> Will constitute a criminal offense, illegal, threatening, offensive, insulting and swearing, derogatory, defamatory, vulgar, pornographic, indecent, personality rights, damaging or similar nature in the nature of all kinds of financial content, legal, criminal and administrative responsibility for the content of the sender member / members are belong.