Rais Magufuli akubali ombi la TFF

Rais John Magufuli anatarajiwa kuikabidhi klabu ya Simba kikombe cha ubingwa wa soka Ligi Kuu ya Tanzania Bara Jumamosi

Rais Magufuli akubali ombi la TFF

Rais John Magufuli anatarajiwa kuikabidhi klabu ya Simba kikombe cha ubingwa wa soka Ligi Kuu ya Tanzania Bara Jumamosi

16 May 2018 Wednesday 17:39
Rais Magufuli akubali ombi la TFF

Na Amini Nyaungo

Kaimu katibu mkuu wa shirikisho la soka Tanzania Wilfred Kidao leo hii amethibitisha kuwa Rais John Pombe Magufuli amekubali kuikabidhi kombe kwa mabingwa wa soka Tanzania bara Simba msimu wa 2017-2018.

Akiongea leo makao makuu ya TFF amesema kuwa ile barua iliyotumwa na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe ilikubaliwa.

“Rais Magufuli amekubali ombi la TFF kuwakabidhi vijana wa Serengeti Boys kombe la CECAFA, pamoja na kuikabidhi Simba,” amesema.

Hii sasa uthibitisho ambapo mchezo wa Simba na Kagera utachezwa saa nane mchana.

Azania Post

Comments
Avatar
Your Name
Post a Comment
Characters Left:
Your comment has been forwarded to the administrator for approval.×
<strong>Warning!</strong> Will constitute a criminal offense, illegal, threatening, offensive, insulting and swearing, derogatory, defamatory, vulgar, pornographic, indecent, personality rights, damaging or similar nature in the nature of all kinds of financial content, legal, criminal and administrative responsibility for the content of the sender member / members are belong.