Ronaldo atoa Bilioni 3.5 za futari

" Ronaldo ambaye ni mshambuliaji wa timu ya Juventus ya Italia, mara kadhaa amekuwa akilaani vitendo vya ukandamizaji wanavyofanyiwa wa Palestina na Waislaeli"

Ronaldo atoa Bilioni 3.5 za futari

" Ronaldo ambaye ni mshambuliaji wa timu ya Juventus ya Italia, mara kadhaa amekuwa akilaani vitendo vya ukandamizaji wanavyofanyiwa wa Palestina na Waislaeli"

18 May 2019 Saturday 11:59
Ronaldo atoa Bilioni 3.5 za futari

Na mwandishi wetu

MCHEZAJI nguli wa Ureno, Christian Ronaldo  amechangia dola za kimarekani bilioni 1.5 sawa na takribani bilioni tatu na nusu za kitanzania  zitakazotumika kwa ajili yamanunuzi ya chakula cha futari kwenye mwezi huu mtukufu wa Ramadhani  kwa wakazi wa  Palestina wanaokabiliwa na vikwazo vya Israel katika Ukanda wa Gaza.

Mchezaji huyo ambaye kwa sasa ni mshambuliaji wa timu ya Juventus ya Italia, mara kadhaa amekuwa akilaani vitendo vya ukandamizaji wanavyofanyiwa wa Palestina na Waisrael

Huo ni mwendelezo wa mchezaji huyo ambaye amechukua tuzo tano za mchezaji bora wa Dunia, Mwaka 2012 Ronaldo alipiga mnada moja ya kiatu chake cha dhahabu chenye thamani kubwa alichotunukiwa kwa kuwa mshambualiji bora wa msimu. Fedha zilizopatikana zilitunisha mfuko kwa watoto wa Kipalestina.

Mwaka uliofuata  mwezi Machi 2013, mwishoni mwa mechi kati ya Israeli na Ureno ya kufuzu Mashindo ya Kombe la Dunia la mwaka 2014, Ronaldo alikataa kubadilishana jezi na  mchezaji wa Israeli.

Updated: 19.05.2019 07:23
Comments
Avatar
Your Name
Post a Comment
Characters Left:
Your comment has been forwarded to the administrator for approval.×
<strong>Warning!</strong> Will constitute a criminal offense, illegal, threatening, offensive, insulting and swearing, derogatory, defamatory, vulgar, pornographic, indecent, personality rights, damaging or similar nature in the nature of all kinds of financial content, legal, criminal and administrative responsibility for the content of the sender member / members are belong.