Simba na nyingine 7 kuanzia hatua ya kwanza mabingwa Afrika

Simba na nyingine 7 kuanzia hatua ya kwanza mabingwa Afrika

10 July 2019 Wednesday 06:25
Simba na nyingine 7 kuanzia hatua ya kwanza mabingwa Afrika

Na mwandishi wetu, Dar es Salaam

Jumla ya timu 62 zitashiriki katika michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika ikiwa ni michuano ya historia kwa Tanzania kwani kwa Mara ya kwanza Inaingiza timu mbili huku timu zingine mbili zikicheza katika kombe la Shirikisho.

Simba ambayo ilifika katika hatua ya Robo fainali katika ligi hiyo msimu uliopita itakua na Yanga katika michuano hiyo msimu huu lakini Simba pamoja na timu zingine saba ukiacha bingwa mtetezi yenyewe zitaanzia hatua ya kwanza huku Yanga ikianzia hatua ya awali kusaka nafasi ya kucheza katika makundi.

TIMU ZINAZOSHIRIKI

1. Aigle Noir
2. Al Ahly SC✔
3. Al Hilal
4. Al Merreikh SC
5. Asante Kotoko
6. ASC Kara
7. AS Otoho
8. AS Ports
9. AS SONIDEP
10. AS Tempte Mocaf
11. AS Vita Club
12. Atlabara FC
13. Black Africa
14. Brikama United
15. Buffles du Borgou
16. Cano Sport
17. Cercle Mberi Sportif
18. CS Mindelense
19. Cote d'Or
20. Dekedaha FC
21. Elect-Sport
22. Enyimba Int'l
23. Esperance Sportive de Tunis✔

Updated: 10.07.2019 15:36
Comments
Avatar
Your Name
Post a Comment
Characters Left:
Your comment has been forwarded to the administrator for approval.×
<strong>Warning!</strong> Will constitute a criminal offense, illegal, threatening, offensive, insulting and swearing, derogatory, defamatory, vulgar, pornographic, indecent, personality rights, damaging or similar nature in the nature of all kinds of financial content, legal, criminal and administrative responsibility for the content of the sender member / members are belong.