Simba wamuongezea mkataba Triple C

Simba wamuongezea mkataba Triple C

26 June 2019 Wednesday 13:36
Simba wamuongezea mkataba  Triple C


Na mwandishi wetu, Dar es Salaam
KLABU ya Simba ya jijini Dar es Salaam imemuongezea mkataba wa miaka miwili kiungo mahili,  Clatous Chota Chama (Triple C) kuicheze timu hiyo.

Taarifa ya klabu ya Simba ya Juni 26, 2019 inaeleza; "Mfungaji wa magoli ya mwisho ambayo yalitupeleka kwenye hatua ya makundi na robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Clatous Chota Chama (Triple C) bado yupo sana Msimbazi. Mwamba wa Lusaka ataendelea kuwa sehemu ya kikosi cha Mabingwa baada ya kusaini mkataba mpya wa miaka miwili"

Comments
Avatar
Your Name
Post a Comment
Characters Left:
Your comment has been forwarded to the administrator for approval.×
<strong>Warning!</strong> Will constitute a criminal offense, illegal, threatening, offensive, insulting and swearing, derogatory, defamatory, vulgar, pornographic, indecent, personality rights, damaging or similar nature in the nature of all kinds of financial content, legal, criminal and administrative responsibility for the content of the sender member / members are belong.