Simba watua Mwanza kuikabili Gwambina

Simba watua Mwanza kuikabili Gwambina

20 June 2019 Thursday 11:57
Simba watua Mwanza kuikabili Gwambina


Na mwandishi wetu, Mwanza
KIKOSI cha timu ya Simba kimefika jijini Mwanza kwa ajili ya  mechi ya kirafiki dhidi timu ya Gwambina kesho Juni 21, 2019.

Gwambina inatarajia kushiriki ligi daraja la kwanza 2019/20.

Mapema leo Juni 20,2019 majira ya asubuhi wachezaji wa Simba wamepata kifungua kinywa Mwanza Mjini wakiwa njiani kuelekea Misungwi ambako kesho watacheza mchezo wa kirafiki dhidi ya timu hiyo.

Pichani ni Kocha Mussa Mgosi akiwa na baadhi ya wachezaji akiwepo Yusufu Mlipili, Hassan Dilunga, Said Ndemla na wachezaji wengine.

Updated: 20.06.2019 12:04
Comments
Avatar
Your Name
Post a Comment
Characters Left:
Your comment has been forwarded to the administrator for approval.×
<strong>Warning!</strong> Will constitute a criminal offense, illegal, threatening, offensive, insulting and swearing, derogatory, defamatory, vulgar, pornographic, indecent, personality rights, damaging or similar nature in the nature of all kinds of financial content, legal, criminal and administrative responsibility for the content of the sender member / members are belong.