banner68

Simba yamkata mshambuliaji wa Nigeria, leo kujua nani atakuwemo

Simba yamkata mshambuliaji wa Nigeria, leo kujua nani atakuwemo

28 June 2018 Thursday 10:49
Simba yamkata mshambuliaji wa Nigeria, leo kujua nani atakuwemo

Na Amini Nyaungo

Azania post ipo katika mazoezi ya Simba muda huu kikubwa kinachoendelea ni majina ambayo yatatangazwa na kocha Masudi Djuma .

Je unadhani nani anakatwa na yupi anabakia kundini kwa ajili ya msimu ujao wa 2018-2019 baada ya muda itatangazwa.

Kubwa zaidi kuna msururu wa wachezaji wa kigeni pia wamekuja kufanya majaribio kama ilivyokawaida nao watakuwa na ukatwaji wao hivyo baada ya muda tutakupa taarifa.

Kuna habari kubwa sana leo pia atatangaza kikosi kitakacho cheza kwa ajiri ya michuano ya Kagame hii leo, nani nanani atakatwa. Ila Said Ndemla naye ndani huku mshambuliaji wa Nigeria amekatwa.

Mshambuliaji huyo ni Victor Patrick ambapo ujio wa Meddie Kagera umembania riziki yake Misimbazi.

Ili tuweze kuwa pamoja unaweza kuandika maoni yako kupitia kurasa zetu za facebook, Instagram na Twitter.

Azania Post

Updated: 28.06.2018 11:11
Comments
Avatar
Your Name
Post a Comment
Characters Left:
Your comment has been forwarded to the administrator for approval.×
<strong>Warning!</strong> Will constitute a criminal offense, illegal, threatening, offensive, insulting and swearing, derogatory, defamatory, vulgar, pornographic, indecent, personality rights, damaging or similar nature in the nature of all kinds of financial content, legal, criminal and administrative responsibility for the content of the sender member / members are belong.
Avatar
abdallah chibwana 2018-06-28 11:13:31

ok mutujuze kinachojiri

Avatar
Musa said msami 2018-06-28 11:54:11

Tupo pamoja tupo habar motomoto

Avatar
Sekoo mturi 2018-06-28 15:04:03

Safi sana

Avatar
Godfrey 2018-06-28 15:21:18

facebook

Avatar
shigela kishiwa 2018-07-27 00:31:12

kwanamna hii yanga siamin kabisa