Simba yapata mdhamini mpya, yasaini mkataba wa mamilioni

Simba yapata mdhamini mpya, yasaini mkataba wa mamilioni

01 July 2019 Monday 13:59
Simba yapata  mdhamini mpya, yasaini mkataba wa mamilioni

Na mwandishi wetu, Dar es Salaam
KLABU ya Simba imeingia mkataba wa mwaka mmoja wa udhamini na kampuni ya A-One, watengenezaji wa kinywaji cha Mo-Extra.

Mkataba huo umesainiwa leo Julai 1, 2019 jijini Dar es Salaam

Mkurugenzi wa Masoko wa kampuni ya MeTL Group ambayo ni kampuni tanzu na A-One , Fatema Dewji amesema udhamini huo ni wa milioni 250.

"Mwaka 2018/19 tulidhamini kupitia kinywaji cha Mo-Energy, msimu wa mwaka 2019/20 tunadhamini kupitia kinywaji cha Mo-Extra,'' amesema Fatema

Pichani ni  Afisa Mtendaji Mkuu (CEO) wa kampuni ya Simba Sports Club.Crescentius Magori 

Updated: 02.07.2019 10:18
Comments
Avatar
Your Name
Post a Comment
Characters Left:
Your comment has been forwarded to the administrator for approval.×
<strong>Warning!</strong> Will constitute a criminal offense, illegal, threatening, offensive, insulting and swearing, derogatory, defamatory, vulgar, pornographic, indecent, personality rights, damaging or similar nature in the nature of all kinds of financial content, legal, criminal and administrative responsibility for the content of the sender member / members are belong.
Avatar
Abdallah Hamisi itembele 2019-07-10 21:53:50

Tunashukuru kwa ufadhili na wengine wajitokeze kuimarisha club yetu. Asante