banner68
banner58

Simba yatoa tamko rasmi kuhusu usajili wa Kelvin Yondani

Simba yatoa tamko rasmi kuhusu usajili wa Kelvin Yondani

19 July 2018 Thursday 08:36
Simba yatoa tamko rasmi kuhusu usajili wa Kelvin Yondani

Wakati ikielezwa kuwa beki ambaye bado hajasaini mkataba mpya na klabu ya Yanga, Kelvin Yondani kutajwa kuelekea upande wa pili, uongozi wa Simba umeibuka na kutoa tamko.

Kwa mujibu wa Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara, amesema hakuna ukweli wowote kuhusiana na taarifa hizo akieleza kuwa ni muvi ambayo Yanga wanaitengeneza wenyewe.

Manara amesema Yanga wamemua kuvujisha taarifa hizo wenyewe akisema wanajichanga kusaka pesa ili baadaye wakishamsajili waje kusema wameipiga bao Simba.

Ofisa huyo ametamba kwa kusema hawamuhitaji Yondani wala hawana mpango naye tofauti na taarifa zilivyosambaa mitandaoni na kwenye vyombo vya habari kuwa Simba ipo kwenye harakati za kumalizana naye.

"Ni muvi ambayo Yanga wanaitengeneza wenyewe, wameamua kuvujisha taarifa hizo makusudi wasake pesa kisha wakija kumsajili waseme wameipiga bai Simba. Sisi hatumuhitaji wala hatuna mpango naye" alisema Manara.

Salehe Jembe

Comments
Avatar
Your Name
Post a Comment
Characters Left:
Your comment has been forwarded to the administrator for approval.×
<strong>Warning!</strong> Will constitute a criminal offense, illegal, threatening, offensive, insulting and swearing, derogatory, defamatory, vulgar, pornographic, indecent, personality rights, damaging or similar nature in the nature of all kinds of financial content, legal, criminal and administrative responsibility for the content of the sender member / members are belong.
Avatar
bahebe sanyiwa 2018-07-22 16:47:53

itakuwa historia

Avatar
Luhende njile wa katavi 2018-07-28 21:25:17

Watapata tabu sana vyura!!

Avatar
Federick 2018-07-30 21:47:38

Yanga wamekwixhaa

Avatar
sadoth samson 2018-08-03 08:52:36

yong watakura jeuri yao

Avatar
sitivini machia 2018-08-05 07:28:53

0692211386

Avatar
Haruni msihi pande za taigo Manyara 2018-08-05 22:12:57

Vyura fc zao kelele 2 tembo anakunywa maji

Avatar
kasanda 2018-08-05 22:34:25

yanga vp

Avatar
Timotheo mayala 2018-08-09 15:45:32

Ck zote mtoto halali na hela