banner68
banner58

Singida United yaipiga Yanga bao nje ya uwanja

Kiungo mahiri aliyekuwa anatakiwa Yanga ajiunga Singida

Singida United yaipiga Yanga bao nje ya uwanja

Kiungo mahiri aliyekuwa anatakiwa Yanga ajiunga Singida

12 July 2018 Thursday 14:25
Singida United yaipiga Yanga bao nje ya uwanja

Klabu ya Singida United imefanikiwa kuinasa saini ya mchezaji Feisal Salum Abdalah “FEI TOTO” kwa kandarasi ya miaka mitatu.

Katika kikao cha pamoja cha Uongozi wa JKU na Singida United, wameshakubaliana gharama za kufidia mkataba (transfer fee) wa miaka miwili ambayo mchezaji huyo alibakiza kuitumikia JKU.

Toto ambaye alikuwa akihusishwa kutua Yanga amefikia makubaliano na uongozi wa Singida kwa kusaini kandarasi hiyo na sasa atakuwa sehemu ya kikosi cha walima alizeti hao katika msimu ujao wa Ligi Kuu Bara.

Hii ni mwendelezo wa kukisuka kikosi cha SU chini ya kocha Hemedi Selemani Morocco.

Comments
Avatar
Your Name
Post a Comment
Characters Left:
Your comment has been forwarded to the administrator for approval.×
<strong>Warning!</strong> Will constitute a criminal offense, illegal, threatening, offensive, insulting and swearing, derogatory, defamatory, vulgar, pornographic, indecent, personality rights, damaging or similar nature in the nature of all kinds of financial content, legal, criminal and administrative responsibility for the content of the sender member / members are belong.