banner68
banner58

Tarimba awatumia salamu waliosaidia kufanikisha usajili wa Yondani

Tarimba awatumia salamu waliosaidia kufanikisha usajili wa Yondani

21 July 2018 Saturday 07:35
Tarimba awatumia salamu waliosaidia kufanikisha usajili wa Yondani

Baada ya kukamilisha zoezi la kumbakiza beki Kelvin Yondani, mwenyekiti wa zamani wa klabu hiyo, Abbas Tarimba amewashukuru baadhi ya watu akisema walifanikisha zoezi hilo.

Tarimba amesema aliowarushia shukurani hizo ni wale waliokuwa sehemu ya kufanikisha suala hilo.

“Pamoja na hivyo, kiukweli niwashukuru baadhi ya watu waliofanikisha usajili wa Yondani Yanga ambaye kwenye msimu ujao tutakuwa naye ambao ni kundi la WhatsApp la Yanga Viva na mtu mmoja ambaye ni shabiki mwenye mapenzi na timu yake, jina lake maarufu ni Yanga Makaza anayeishi mkoani Mwanza.

“Pia nimshukuru Yondani mwenyewe ambaye ni muhimili mkubwa katika timu kwa kufanikisha usajili wake pamoja na kaka yake, Sunday ambaye ni meneja wake.

"Bila kuisahau familia ya Yondani ambayo imefanikisha kubakia, hivi sasa ninaelekeza nguvu kwa Kessy ambaye naye nilifanya naye mazungumzo ambayo yamefikia pazuri wakati wowote tutalimaliza hilo,” alisema Tarimba.

Comments
Avatar
Your Name
Post a Comment
Characters Left:
Your comment has been forwarded to the administrator for approval.×
<strong>Warning!</strong> Will constitute a criminal offense, illegal, threatening, offensive, insulting and swearing, derogatory, defamatory, vulgar, pornographic, indecent, personality rights, damaging or similar nature in the nature of all kinds of financial content, legal, criminal and administrative responsibility for the content of the sender member / members are belong.
Avatar
Steven mkawa 2018-07-21 08:39:25

Binafsi nimefurahi sana kuona Kelvin yondani anasalia yanga hongera Tarimba kwa kufanikisha usajili wa beki kisiki Kelvin yondani

Avatar
chabonda 2018-07-21 10:38:26

hongera sana Tarimba Abas

Avatar
Ramadhani mandingo 2018-07-21 14:27:30

Binafsi nikushukuru sana Tarimba Abasi Tarimba pamoja na kebinet yote kwa kufsnikisha zoezi lakumbakiza YondaniPia nitakuwa mchoyi wafadhila kama sitamshukuru Yondani na familia yake kwa kukubali kubaki Yanga

Avatar
Godfrey Simeon 2018-07-22 11:05:51

Ongera tarimba kwa kumbakisha yondani A.K.A Ramos

Avatar
John C Shokolo 2018-07-22 22:37:11

Hogera Sana Tarimba Kwa Uamzi Wako Kwa Yondan Kwan Wewe Ndo Uwe Mfano Wa Kuigwa Kwa Viogoz Wa Yanga

Avatar
erasto nzyogory 2018-07-24 08:44:16

God Blees You Tarimba

Avatar
ramadhan ausy 2018-07-26 08:03:40

abas tarimba ni kama manji umetumalizia tatizo la yondan na kes kwan unauhimil mkubwa sana.kwenye club ya yanga nataka uwe mfano wa kuigwa ktk viongoz wenye iman potofu by R. KIONA

Avatar
Mbazo Godfrey 2018-07-29 13:28:51

Hongera Sana Tarimba Lakn Lustand,pato Ngonyan Watoke Hapo Yanga By Shabik Wa Yanga.