Tetesi za Usajili: Yanga yashusha straika toka Ulaya

Ni raia wa Nigeria, alikuwa akicheza soka la kulipwa nchini Serbia

Tetesi za Usajili: Yanga yashusha straika toka Ulaya

Ni raia wa Nigeria, alikuwa akicheza soka la kulipwa nchini Serbia

02 July 2018 Monday 09:47
Tetesi za Usajili: Yanga yashusha straika toka Ulaya

Klabu ya Yanga imemsusha mshambuliaji Emeka Emarun kutoka Nigeria kwa kuja kumalizana na mabosi wa timu huyo kusaini mkataba, imeelezwa.

Emarun ambaye anaichezea klabu ya FK Radnick Pirot ya Serbia, inaelezwa amewasili usiku wa kuamkia leo kwa ajili ya kumalizana na viongozi wa Yanga.

Straika huyo anapewa nafasi ya kuchukua majukumu ya Donald Ngoma baada ya kuondoka na kuelekea Azam ambapo pengo lake ndani ya Yanga halijazibika mpaka sasa.

Mapema baada ya kuwasili Dar, mabosi wa Yanga wameamua kumficha mchezaji huyo ili kufanya naye mazungumzo ya siri ili kuweka kila kitu sawa kwa ajili ya mazungumzo ya mkataba.

Ujio wa mchezaji huyo Dar ni kutokana na Kamati Maalum ya Mpito iliyo chini ya Abbas Tarimba ambayo awali ilisema itakuwa inafanya usajili wake kimyakimya.

Comments
Avatar
Your Name
Post a Comment
Characters Left:
Your comment has been forwarded to the administrator for approval.×
<strong>Warning!</strong> Will constitute a criminal offense, illegal, threatening, offensive, insulting and swearing, derogatory, defamatory, vulgar, pornographic, indecent, personality rights, damaging or similar nature in the nature of all kinds of financial content, legal, criminal and administrative responsibility for the content of the sender member / members are belong.
Avatar
bosco milinga 2018-07-14 23:05:55

vp tutalajie nn tar 15 mana prexha zkoju kinoma

Avatar
huluma gibusoni 2018-07-13 23:04:09

2naomba hao wachezaj 2waone

Avatar
Rivado a. Sambala 2019-07-15 23:28:34

yanga damdam hongela kwa kufanya usajili huooo.

Avatar
Joshua Elius 2019-07-10 21:48:56

nawaomba mfanye usajili wa kweli ili msimu ujao tubebe kombe na ligi ya mabigwa tufanye vizur

Avatar
XADAT 2019-07-09 15:32:42

Ongera! Yanga yangu

Avatar
Brauson Samson Ajuna 2019-07-07 22:04:17

Hongera sana wanajangwani kwa kuturejesha kwenye furaha yetu ya zaman

Avatar
0673912847 2019-07-07 06:48:38

usajili mwema dar young african

Avatar
Mussa Hassan Botto 2019-07-06 14:06:24

Naipenda Sana Yanga Hua Naumwa Pale Inapo Fungwa Na Timu Pizani