TFF yaachana na Ammy Ninje

TFF yaachana na Ammy Ninje

12 June 2019 Wednesday 17:10
TFF yaachana  na Ammy Ninje

Na mwandishi wetu, Dar ers Salaam
SHIRIKISHO la soka Tanzania (TFF) limemfuta kazi Mkurugenzi wa Ufundi wa shirikisho hilo, Ammy Ninje.

Pia TFF imelivunja bechi lote la ufundi la Serengeti Boys ambalo lilikuwa chini ya Kocha Oscar Milambo.

Rais wa TFF, Wallace Karia amesema sababu za kifamilia ndio zilizopelekea Ninje kuondoka katika nafasi yake hiyo.

"Familia yake ipo Uingereza na ana matatizo binafsi(kifamilia) sasa tumeonelea aende kuwa karibu na familia yake,'' amesema Karia Leo Juni 12, 2019 jijini Dar es Salaam mara baada ya kutambulisha rasmi jezi mpya za Taifa Star

Updated: 14.06.2019 10:37
Comments
Avatar
Your Name
Post a Comment
Characters Left:
Your comment has been forwarded to the administrator for approval.×
<strong>Warning!</strong> Will constitute a criminal offense, illegal, threatening, offensive, insulting and swearing, derogatory, defamatory, vulgar, pornographic, indecent, personality rights, damaging or similar nature in the nature of all kinds of financial content, legal, criminal and administrative responsibility for the content of the sender member / members are belong.