UEFA: Real Madrid hoi, Juve yabanwa

UEFA: Real Madrid hoi, Juve yabanwa

19 September 2019 Thursday 05:53
UEFA:  Real Madrid hoi, Juve yabanwa

MECHI za UEFA Champions League zimeendelea tena usiku wa  kuamkia Septemba 19, 2019 kwa michezo kadhaa kuchezwa.

Miongoni mwa matokeo ni Real Madrid kubugizwa goli 3-0 na PSG na kuifanya timu hiyo hasa kocha wake Zinedine  Zidane(Zizoo) kuwa na wakati mgumu klabuni hapo.

Juventus ya Italia ikiwa na staa wake Cristiano Ronaldo imetoshana nguvu na Atletico Madrid kwa sare ya 2-2 katika uwanja wa Wanda Metropolitan nchini Hispania.

Matokeo kamili haya hapa;

Updated: 19.09.2019 07:05
Comments
Avatar
Your Name
Post a Comment
Characters Left:
Your comment has been forwarded to the administrator for approval.×
<strong>Warning!</strong> Will constitute a criminal offense, illegal, threatening, offensive, insulting and swearing, derogatory, defamatory, vulgar, pornographic, indecent, personality rights, damaging or similar nature in the nature of all kinds of financial content, legal, criminal and administrative responsibility for the content of the sender member / members are belong.