banner68
banner58

Yanga na Heritier Makambo mambo yameiva

Ni mshambuliaji kutoka FC Lupopo ya DR Congo, anatarajiwa kuchukua mikoba ya Obrey Chirwa

Yanga na Heritier Makambo mambo yameiva

Ni mshambuliaji kutoka FC Lupopo ya DR Congo, anatarajiwa kuchukua mikoba ya Obrey Chirwa

30 June 2018 Saturday 11:06
Yanga na Heritier Makambo mambo yameiva

Na Amini Nyaungo

Wakati Mbenini akichemka mshambuliaji kutoka FC Lupopo Haritier Makambo mambo yameonekana kuiva Jangwani.

Yeye katika tizi zito alilitoa Zahera amefaulu na anaoneka kufanya vizuri katika majaribio hivyo amejumuisha katika kundi la wachezaji wenyeji.

Makambo ambaye ana mwili wa mpira ameonekana kuja kuziba nafasi ya Chirwa ambaye amekwenda kumaliza maisha yake ya soka huko nchini Misri huku akimwaga mapicha akiwa na wachezaji wenzake wapya.

Ishu iko hivi

Mwinyi Zahera amewagawa wachezaji katika makundi mawili wale 14 waliokuja kujaribu bahati Yanga wapo katika kundi lao huku wale wenyeji wapo katika kundi lao.

Dozi ya tizi iko vile vile hivyo akimalizana na hawa waliokuja kufanya majaribio anaelekea kwa wenyeji.

Makambo ameonekana kufanya juhudi na kufaulu kwa kiwango cha juu na inasemekana ule mzigo wa Koukpo unahamishiwa kwa nyota huyo na wiki hii atatia saini.

Azania Post

Comments
Avatar
Your Name
Post a Comment
Characters Left:
Your comment has been forwarded to the administrator for approval.×
<strong>Warning!</strong> Will constitute a criminal offense, illegal, threatening, offensive, insulting and swearing, derogatory, defamatory, vulgar, pornographic, indecent, personality rights, damaging or similar nature in the nature of all kinds of financial content, legal, criminal and administrative responsibility for the content of the sender member / members are belong.
Avatar
Lowassa 2018-07-01 04:21:07

Kumongishu

Avatar
SALUM KUDOBA 2018-08-21 10:28:11

makambo is best stricker in youg african

Avatar
shauri jelard 2018-08-28 22:52:51

anatisha