banner68

Yanga watangaza vita na Azam wamtaka mchezaji wao mahiri

Yanga watangaza vita na Azam wamtaka mchezaji wao mahiri

27 June 2018 Wednesday 11:09
Yanga watangaza vita na Azam wamtaka mchezaji wao mahiri

Na Mwandishi Wetu

Yanga wako katika harakati za kulipa kisasi kwa klabu ya Azam tayari habari zinasema mchezaji bora kijana wa timu hiyo Shabani Iddi Chilunda.

Yanga imeonekana kuhitaji saini ya mchezaji huyo ambaye anafanya vizuri kuja kuungana na Yohana Mkomola ambaye tayari msimu huu anacheza msimu wake wa pili.

Msemaji  wa mkuu wa Azam Jaffari Iddi Maganga wiki moja iliyopita alikaliliwa kuwa timu hiyo ina sera ya kuwatunza wachezaji vijana hivyo.

Kisasi hicho baada ya kumchukua Donald Ngoma licha ya Yanga kuvunja mkataba, pia Azam walijaribu kumsajili Juma Abdul lakini dili hilo halikukamilika.

Azania Post

Comments
Avatar
Your Name
Post a Comment
Characters Left:
Your comment has been forwarded to the administrator for approval.×
<strong>Warning!</strong> Will constitute a criminal offense, illegal, threatening, offensive, insulting and swearing, derogatory, defamatory, vulgar, pornographic, indecent, personality rights, damaging or similar nature in the nature of all kinds of financial content, legal, criminal and administrative responsibility for the content of the sender member / members are belong.
Avatar
Okwi de mkude 2018-07-12 06:25:11

Yanga wanapesa gan ya kumlipa chilunda????? Viongozi wa yanga waache porojo kwenye usajili si wanasajili kimya kimya????

Avatar
Okwi de mkude 2018-07-12 06:18:30

Yanga wanapesa gan ya kumlipa chilunda????? Viongozi was yanga waache porojo kwenye usajili si wanasajili kimya kimya????

Avatar
Okwi de mkude 2018-07-12 06:23:57

Yanga wanapesa gan ya kumlipa chilunda????? Viongozi wa yanga waache porojo kwenye usajili si wanasajili kimya kimya????

Avatar
Jumanne malenda 2018-07-14 23:09:32

Sifa bila ya na ela uwa kituko

Avatar
Fuluku Fuluk 2018-07-21 23:16:57

Chilunda Ulaya Ya Bahat Mbaya Kalibu Ulaya

Avatar
haxhim juma 2018-07-23 19:03:10

Achen kiherehere nyie okwe vs mkude kwan waximba wana nn yanga wamechukua kombe mara ngap nyie kuchukua jana ndo imekuwa tixhio ww

Avatar
Ngunde jr 2018-07-27 12:47:21

Yanga watapata tabu sana mwaka huu...............!!!

Avatar
Ngunde jr 2018-07-27 12:58:23

Yanga hamuna peza za kumpa chilunda...!!!