Yanga yaanza cheche za usajili, yapata mabadala wa Ngoma

Aliyekuwa mshambuliaji wa timu hiyo Donald Ngoma ameachana na klabu hiyo na kujiunga na Azam FC

Yanga yaanza cheche za usajili, yapata mabadala wa Ngoma

Aliyekuwa mshambuliaji wa timu hiyo Donald Ngoma ameachana na klabu hiyo na kujiunga na Azam FC

02 June 2018 Saturday 09:37
Yanga yaanza cheche za usajili, yapata mabadala wa Ngoma

Na Mwandishi wetu

Klabu ya Yanga Sc imekamilisha usajili wa mshambuliaji wa kimataifa wa Benin, Marcellin Koukpo mwenye umri wa miaka 23 kutoka timu ya Les Buffles Fc du Borgou ya Benin.

Koukpo ambaye amepewa jezi namba 11 iliyokuwa inavaliwa na Donald Ngoma amesaini kandarasi ya miaka miwili na ataungana timu nchini Kenya kwenye michuano ya Sportpesa Super Cup.

Taarifa kuwa Koukpo amesaini mkataba wa miaka miwili kuwatumia mabingwa hao wa kihistoria wa Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya kuutwaa mara 27.

Viongozi wa Yanga akiwemo Dismas Ten ambaye ndiyo msemaji mkuu amesema atalitolea ufafanuzi jambo hilo japo hajakataa wala kukubali kuwa wamekamilisha usajili wa mchezaji huyo.

Azania Post

Updated: 02.06.2018 10:31
Comments
Avatar
Your Name
Post a Comment
Characters Left:
Your comment has been forwarded to the administrator for approval.×
<strong>Warning!</strong> Will constitute a criminal offense, illegal, threatening, offensive, insulting and swearing, derogatory, defamatory, vulgar, pornographic, indecent, personality rights, damaging or similar nature in the nature of all kinds of financial content, legal, criminal and administrative responsibility for the content of the sender member / members are belong.