ACT Wazalendo yataja safu mpya ya uongozi taifa

ACT Wazalendo yataja safu mpya ya uongozi taifa

10 June 2019 Monday 08:46
ACT Wazalendo yataja safu mpya ya uongozi taifa

Na mwandishi wetu, Dar es Salaam

KATIKA kikao chake cha kawaida cha siku mbili Juni 9 na 10, 2019 kinachoendelea jijini Dar es salaam, Kamati Kuu ya ACT Wazalendo imefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali wa kitaifa ili kuboresha safu ya uongozi wa kitaifa wa Chama.

Katibu wa Itikadi, Mawasiliano na Uenezi, ACT Wazalendo, Ado Shaibu leo Juni 10, 2019 ameiambia Azaniapost kuwa;

Viongozi walioteuliwa na Kamati Kuu ni wafuatao;

A. Mshauri Mkuu wa Chama

Ndugu Maalim Seif Shariff Hamad

B. Wajumbe wa Kamati Kuu

1. Ndugu Theopista Kumwenda

2. Ndugu Mwajabu Dhahabu

3. Ndugu Fatma Fereji

4. Ndugu Eddy Riyami

C: Wenyeviti wa Kamati za Kitaifa

1. Mwenyekiti wa Kamati ya Fedha na Miradi:

Ndugu Nassor A. Marzurui

2. Mwenyekiti wa Kamati ya Itikadi, Mawasiliano na Uenezi

Ndugu Salim A. Bimani

3. Mwenyekiti wa Kamati ya Kampeni na Uchaguzi

Ndugu Joram Bashange

4. Mwenyekiti wa Kamati ya Oganaizesheni, Mafunzo na Wanachama

Ndugu Mhonga Ruhwanya

5. Mwenyekiti wa Kamati ya Mikakati, Usimamizi na Ufuatiliaji

Ndugu Ismail Jussa

D: Makatibu wa Kamati za Kitaifa

1. Katibu wa Kamati ya Oganaizesheni, Mafunzo na Wanachama

Ndugu Shaweji Mketo

2. Katibu wa Kamati ya Katiba na Sheria

Ndugu Kulthum Mchuchuli

3. Katibu wa Kamati ya Uadilifu

Ndugu Mbarala Maharagande

4. Katibu wa Kamati ya Mikakati, Usimamizi na Ufuatiliaji

Ndugu Rachel Kimambo

Updated: 10.06.2019 08:56
Comments
Avatar
Your Name
Post a Comment
Characters Left:
Your comment has been forwarded to the administrator for approval.×
<strong>Warning!</strong> Will constitute a criminal offense, illegal, threatening, offensive, insulting and swearing, derogatory, defamatory, vulgar, pornographic, indecent, personality rights, damaging or similar nature in the nature of all kinds of financial content, legal, criminal and administrative responsibility for the content of the sender member / members are belong.