Chadema matatani, Msajili atoa siku saba kwa chama hicho

Chadema matatani, Msajili atoa siku saba kwa chama hicho

02 October 2019 Wednesday 21:15
Chadema matatani, Msajili atoa siku saba  kwa chama hicho

Na mwandishi wetu, Dar es Salaam

MSAJILI wa vyama vya siasa amekitaka chama cha Chadema hadi kufikia Oktoba 7, 2019 kijieleze kwa nini kisichukuliwe hatua za kisheria kufuatia kushindwa kufanya uchaguzi wa ndani wa viongozi wa kitaifa wa chama hicho.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na ofisi ya msajili Oktoba 1, 2019 inaeleza kuwa Chadema ilitakiwa kufanya uchaguzi wa viongozi wake Julai 27 na 28, 2019 lakini haikufanya hivyo na kwamba hiyo ni kinyume cha katiba, sheria na kanuni za nchi na ya Chadema.

Hii hapa taarifa kamili :


 


 

Updated: 04.10.2019 15:02
Comments
Avatar
Your Name
Post a Comment
Characters Left:
Your comment has been forwarded to the administrator for approval.×
<strong>Warning!</strong> Will constitute a criminal offense, illegal, threatening, offensive, insulting and swearing, derogatory, defamatory, vulgar, pornographic, indecent, personality rights, damaging or similar nature in the nature of all kinds of financial content, legal, criminal and administrative responsibility for the content of the sender member / members are belong.