'Danadana' vyombo vya dola, Nyalandu yaendelea

'Danadana' vyombo vya dola, Nyalandu yaendelea

31 May 2019 Friday 10:21
'Danadana' vyombo vya dola, Nyalandu yaendelea

Na mwandishi wetu, Singida
ALIYEKUWA waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu leo asubuhi Ijumaa Mei 31, 2019 ameripoti kituo cha Polisi  kati mkoani Singida.


Mbunge huyo wa zamani wa Singida Kaskazini  na wenzake watatu walitakiwa kuripoti leo baada ya kuhojiwa kwa saa kadhaa Jumatatu Mei 27, 2019 wakituhumiwa kufanya kikao bila kibali

Pia Juni 19, 2019 Nyalandu na wenzake wataripoti tena ofisi za Tasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa  nchini (Takukuru).

Updated: 31.05.2019 10:32
Comments
Avatar
Your Name
Post a Comment
Characters Left:
Your comment has been forwarded to the administrator for approval.×
<strong>Warning!</strong> Will constitute a criminal offense, illegal, threatening, offensive, insulting and swearing, derogatory, defamatory, vulgar, pornographic, indecent, personality rights, damaging or similar nature in the nature of all kinds of financial content, legal, criminal and administrative responsibility for the content of the sender member / members are belong.