Kamati kuu ACT Wazalendo 'wakuna vichwa'

Kamati kuu ACT Wazalendo 'wakuna vichwa'

09 June 2019 Sunday 10:16
Kamati kuu ACT Wazalendo 'wakuna vichwa'

Na mwandishi wetu, Dar es Salaam

Kamati Kuu ya ACT Wazalendo inakutana kwenye kikao chake cha kawaida cha ndani kwa siku mbili mfululizo kuanzia Juni 9 na 10, 2019.

Katibu wa Itikadi, Mawasiliano na Uenezi, ACT Wazalendo, Ado Shaibu ameiambia Azaniapost kuwa "Pamoja na mambo mengine, kikao  kitafanyika  ofisi ya chama Magomeni, Dar es salaam kuanzia saa 6.00 mchana kitajadili mwelekeo wa chama kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa na hali ya nchi kisiasa na kiuchumi.

Comments
Avatar
Your Name
Post a Comment
Characters Left:
Your comment has been forwarded to the administrator for approval.×
<strong>Warning!</strong> Will constitute a criminal offense, illegal, threatening, offensive, insulting and swearing, derogatory, defamatory, vulgar, pornographic, indecent, personality rights, damaging or similar nature in the nature of all kinds of financial content, legal, criminal and administrative responsibility for the content of the sender member / members are belong.