Magufuli aongoza vikao vya CCM Dar

Magufuli aongoza vikao vya CCM Dar

27 June 2019 Thursday 10:41
Magufuli aongoza vikao vya CCM Dar

Na mwandishi wetu, Dar es Salaam

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk John Pombe Magufuli ameongoza kikao cha Maadili na Usalama cha chama  hicho kilichofanyika katika ofisi ndogo za Makao makuu ya chama hicho Lumumba Jijini Dar es salaam. Juni 26, 2019.

Leo Juni 27, 2019  pia ataongoza kikao cha Halmashauri kuu (Nec). Kwa mujibu wa CCM vikao hivyo ni vya  kawaida kwa mujibu wa kalenda ya chama na Katiba ya chama hicho  ibara ya 101(2)

Tayari  kikao cha kamati kuu(CC) kilifanyika Juni 26, na Juni 25 makatibu wa mikoa walipewa semina maaalumu

Updated: 27.06.2019 11:00
Comments
Avatar
Your Name
Post a Comment
Characters Left:
Your comment has been forwarded to the administrator for approval.×
<strong>Warning!</strong> Will constitute a criminal offense, illegal, threatening, offensive, insulting and swearing, derogatory, defamatory, vulgar, pornographic, indecent, personality rights, damaging or similar nature in the nature of all kinds of financial content, legal, criminal and administrative responsibility for the content of the sender member / members are belong.