banner68
banner58

Makamu Mwenyekiti NCCR Mageuzi na wengine 5 watimkia CCM

Makamu Mwenyekiti NCCR Mageuzi na wengine 5 watimkia CCM

13 July 2018 Friday 12:22
Makamu Mwenyekiti NCCR Mageuzi na wengine 5 watimkia CCM

Leo Julai 13, 2018 Makamu Mwenyekiti NCCR Mageuzi Tanzania Bara, Leticia Ghati Masore ametangaza rasmi kurudi CCM akiwa na wenzake watano akiwemo aliyekuwa mjumbe wa Halmashauri kuu ya chama hicho, Mchata Mchata.

Uamuzi huo ni kufuatia kwa kile alichodai kuwa vyama vya upinzani vinamkera kwani vimekuwa vikipinga kila kitu hadi yale mazuri.

“Kinachonikera kwenye upinzani ni kupinga kila kitu mpaka mazuri wakati hayo ndio tulikuwa tunayasema na mpaka mwisho hatueleweki tunataka nini, kwa hiyo mtu mzima kama mimi nimeona bora nirudi CCM” amesema Bi Leticia.

Comments
Avatar
Your Name
Post a Comment
Characters Left:
Your comment has been forwarded to the administrator for approval.×
<strong>Warning!</strong> Will constitute a criminal offense, illegal, threatening, offensive, insulting and swearing, derogatory, defamatory, vulgar, pornographic, indecent, personality rights, damaging or similar nature in the nature of all kinds of financial content, legal, criminal and administrative responsibility for the content of the sender member / members are belong.