Makatibu wakuu wastaafu CCM watema nyongo

Makatibu wakuu wastaafu CCM watema nyongo

15 July 2019 Monday 10:11
Makatibu wakuu wastaafu CCM watema nyongo

Na mwandishi wetu, Dar es Salaam

MAKATIBU wakuu wawili wastaafu wa CCM,Abdulrahman Kinana na Yusuf Makamba wameamua kuvunja ukimya na kutoa moja ya mambo 'yanayowachefua' kwa kumuandikia barua katibu wa baraza la ushauri la viongozi wastaafu wa chama hicho, Pius Msekwa wakilalamikia kudhalilishwa na  kwa mambo ya uongo na uzushi

Barua yenyewe hii hapa:

Updated: 15.07.2019 11:15
Comments
Avatar
Your Name
Post a Comment
Characters Left:
Your comment has been forwarded to the administrator for approval.×
<strong>Warning!</strong> Will constitute a criminal offense, illegal, threatening, offensive, insulting and swearing, derogatory, defamatory, vulgar, pornographic, indecent, personality rights, damaging or similar nature in the nature of all kinds of financial content, legal, criminal and administrative responsibility for the content of the sender member / members are belong.