banner68
banner58

Maskini Mbowe, akumbwa na mkasa mwingine

Maskini Mbowe, akumbwa na mkasa mwingine

15 September 2018 Saturday 12:03
Maskini Mbowe, akumbwa na mkasa mwingine

SHIRIKA la Ugavi wa Umeme nchini (Tanesco) mkoani Kilimanjaro limekata umeme kwenye hoteli inayomilikiwa na Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chadema Taifa.

Taarifa zinaeleza kuwa, hoteli yake yenye jina la Aish imedaiwa kutumia umeme wa wizi na kusababishia Tanesco hasara ya zaidi ya Sh. 10 million.

Mahawa Mkaka, Meneja Tanesco Mkoa wa Kilimanjaro jana tarehe 14 Septemba, 2018 amesema, hoteli hiyo imejiunganishia umeme na kuharibu miundombinu.

Amesema, walipata taarifa ya wizi huo kutoka katika vyanzo vyao na baada ya uchunguzi wamebaini kuwepo kwa uharibifu na wizi huo.

Mpaka sasa wamiliki wa hoteli hiyo hawajazungumza kuhusu tuhuma hizo

Keywords:
TANESCO
Comments
Avatar
Your Name
Post a Comment
Characters Left:
Your comment has been forwarded to the administrator for approval.×
<strong>Warning!</strong> Will constitute a criminal offense, illegal, threatening, offensive, insulting and swearing, derogatory, defamatory, vulgar, pornographic, indecent, personality rights, damaging or similar nature in the nature of all kinds of financial content, legal, criminal and administrative responsibility for the content of the sender member / members are belong.