Wakurugenzi wawili watumbuliwa

Wakurugenzi wawili watumbuliwa

17 May 2019 Friday 04:55
Wakurugenzi wawili watumbuliwa

Na mwandishi wetu, Dar es Salaam

RAIS John Magufuli ametengua uteuzi wa mkurugenzi  wa Halmashauri ya wilaya ya Mbozi Mkoani Songwe, Adelius Kazimbaya Makwega na mkurugenzi  wa Halmashauri ya wilaya ya Uyui Mkoani Tabora, Hadija Makuwani.

 Uamuzi huo ameutangaza Mei 16, 2019 katika kiko cha kazi  na wakuu wa mikoa, makatibu tawala wa mikoa, wakuu wa  wilaya, makatibu tawala wa wilaya, na wakurugenzi wa halmashauri za majiji, manispaa na wilaya kilichofanyika Ikulu jijini Dar es salaam.

Updated: 23.06.2019 09:32
Comments
Avatar
Your Name
Post a Comment
Characters Left:
Your comment has been forwarded to the administrator for approval.×
<strong>Warning!</strong> Will constitute a criminal offense, illegal, threatening, offensive, insulting and swearing, derogatory, defamatory, vulgar, pornographic, indecent, personality rights, damaging or similar nature in the nature of all kinds of financial content, legal, criminal and administrative responsibility for the content of the sender member / members are belong.