Waziri Mkuu aagiza vyama vya siasa kukutana baada ya Sikukuu ya Eid Fitri

Waziri Mkuu aagiza vyama vya siasa kukutana baada ya Sikukuu ya Eid Fitri

15 June 2018 Friday 13:15
Waziri Mkuu aagiza vyama vya siasa kukutana baada ya Sikukuu ya Eid Fitri

Na Mwandishi Wetu

UONGOZI wa juu nchini Iraq umekusudia kuitisha mkutano na vyama vya kisiasa mara baada ya sikukuu ya Eid El Fitri kujadili utaratibu mpya wa kuunda serikali.

Waziri mkuu wa Iraq Bw. Haider al-Abadi ametoa wito kwa vyama vya kisiasa nchini humo kukutana baada ya sikukuu ya leo, kwa lengo la kufikia mwafaka kuhusu taratibu mpya za kuunda bunge na serikali ijayo.

Wito huo umetolewa wakati mvutano wa kisiasa unapamba moto kutokana na tuhuma za kuwepo kwa vitendo vya udanganyifu na ukiukaji kanuni kwenye uchaguzi wa bunge uliofanyika Mei 12.

Azania Post

Keywords:
Iraq
Comments
Avatar
Your Name
Post a Comment
Characters Left:
Your comment has been forwarded to the administrator for approval.×
<strong>Warning!</strong> Will constitute a criminal offense, illegal, threatening, offensive, insulting and swearing, derogatory, defamatory, vulgar, pornographic, indecent, personality rights, damaging or similar nature in the nature of all kinds of financial content, legal, criminal and administrative responsibility for the content of the sender member / members are belong.