banner68
banner58

Mamlaka ya hali ya hewa: Upepo mkali kuikumba Tanzania

Mamlaka ya hali ya hewa: Upepo mkali kuikumba Tanzania

26 May 2018 Saturday 19:03
Mamlaka ya hali ya hewa: Upepo mkali kuikumba Tanzania

Na Mwandishi Wetu

MAENEO yote ya Pwani yanatarajiwa kukumbwa na vipindi vya upepo mkali unaofikia kilomita 40 kwa saa na mawimbi makubwa yanayofikia mita 2, Mamlaka ya hali ya Hewa nchini imesema

Katika taarifa yake leo, Mamlaka imesema kuwa hali hiyo ya hewa inatarajiwa kutokea kwa kipindi cha masaa ishirini na nne kuanzia jioni hii.

Azania Post

Keywords:
Tanzania
Comments
Avatar
Your Name
Post a Comment
Characters Left:
Your comment has been forwarded to the administrator for approval.×
<strong>Warning!</strong> Will constitute a criminal offense, illegal, threatening, offensive, insulting and swearing, derogatory, defamatory, vulgar, pornographic, indecent, personality rights, damaging or similar nature in the nature of all kinds of financial content, legal, criminal and administrative responsibility for the content of the sender member / members are belong.