banner68
banner58

Msanii Mbosso wa Diamond Platnumz apewa onyo kali

Msanii Mbosso wa Diamond Platnumz apewa onyo kali

20 June 2018 Wednesday 14:44
Msanii Mbosso wa Diamond Platnumz apewa onyo kali

Msanii wa Muziki wa Bongo Fleva kutoka Label ya Muziki Nchini WCB Mbosso amesamehewa na Baraza la Sanaa la Taifa BASATA Kutokana na Kesi ya kusambaza Video zisizokuwa na Maadili Katika Mitandao ya Kijamii.

Mbosso amepewa Onyo hilo kwa Baada ya Video Kusambaa Zikionesha  akicheza na mwanamke jukwaani huko mkoani Mtwara alivyokuwa akitumbuiza kwenye Usiku wa Show aliyopiga siku ya Eid Maeneo ya Makonde Beach

Kwa upande wake msanii huyo anayetamba na Track ya 'Nadekezwa' amesema kuwa amemalizana na BASATA kwa kuwaomba msamaha kwa yaliyotokea na kuwataka mashabiki wake wamsamehe kwa kuposti video hiyo ambayo watu wengi wameilalamikia kuwa ni kinyume na maadili ya Mtanzania

Azania Post

Comments
Avatar
Your Name
Post a Comment
Characters Left:
Your comment has been forwarded to the administrator for approval.×
<strong>Warning!</strong> Will constitute a criminal offense, illegal, threatening, offensive, insulting and swearing, derogatory, defamatory, vulgar, pornographic, indecent, personality rights, damaging or similar nature in the nature of all kinds of financial content, legal, criminal and administrative responsibility for the content of the sender member / members are belong.
Avatar
0742580031 2018-08-13 22:07:10

Omari

Avatar
JETRO MAHREZ 2018-10-24 10:56:57

MBOSSO ni muana mziki muzuri sana musi mutiye bala musi mutiye mikosi:sisi washabiki NORD-KIVU tuna penda MBOSSO KWAMAJINA NI JETRO KISENGE secretere wama shabiki wa mbosso mu nord-kivu.

Avatar
Alessandro justin 2018-11-05 20:21:53

Mbosso ni mwana muziki mzuri sana msimutie majaribuni.