Waziri Mkuu: Niko tayari kusikiliza sauti za upinzani

Waziri Mkuu: Niko tayari kusikiliza sauti za upinzani

08 June 2018 Friday 11:36
Waziri Mkuu: Niko tayari kusikiliza sauti za upinzani

Na Mwandishi Wetu

OMAR Razza  ambaye ni waziri mkuu wa sasa wa Jordan ameliambia bunge kwamba anatumai kuwa na mtazamo uliowazi kuhusu utaratibu wa mageuzi ya kodi ifikapo mwisho wa siku ya leo.

Akitokeza kwa mara ya kwanza tangu alipoteuliwa baada ya maandamano ya upinzani kumuondoa mtangulizi wake, Razza amesema kwamba yuko tayari kuzisikiliza sauti za upinzani katika jamii.

OMAR Razza, Waziri Mkuu wa Jordan 

Mfalme Abdullah wa pili, alimteua Razza wiki hii baada ya Hani Mulki kujiuzulu kufuatia maandamano dhidi ya mpango wa kodi ulionekana usiona tija kwa walio masikini na watu wa tabaka la kati. Waandamanaji wamedai serikali mpya iufute mpango huo mpya wa kodi.

Azania Post

Updated: 08.06.2018 11:47
Comments
Avatar
Your Name
Post a Comment
Characters Left:
Your comment has been forwarded to the administrator for approval.×
<strong>Warning!</strong> Will constitute a criminal offense, illegal, threatening, offensive, insulting and swearing, derogatory, defamatory, vulgar, pornographic, indecent, personality rights, damaging or similar nature in the nature of all kinds of financial content, legal, criminal and administrative responsibility for the content of the sender member / members are belong.